Fahari ya Serengeti

Tuesday, June 21, 2016

CHANJO CHA MBWA YAFANYIKA SERENGETI

 Machunde Bigambo meneja msaidizi wa kampeini ya Chanjo ya mbwa dhidi ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa akiendesha zoezi la chanjo uwanja wa Sokoine Mjini Mugumu,inakadiriwa mbwa 12,000 watapata chanjo wilayani na zoezi hilo linaendeshwa katika wilaya zote zinazopakana na hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Zoezi la chanjo likiendelea
 Kila mmoja anaendelea na chanjo hapa
 Kazi ya chanjo inaendelea
 Kazi ya chanjo inaendelea kama inavyoonekana
 Mbwa wakisubiri kupata chanjo.

 Kila mbwa atapata chanjo.



0 comments:

Post a Comment