Waandishi wa habari kutoka mikoa ya Mara,Dar na Mwanza wakifanya mahojiano na baadhi ya wajasirimali wa Natta ambao ni wanachama wa Saccos ya Ghomacos namna wanavyonufaika na soko la hoteli ya Sasakwa kwa kuwauzia bidhaa mbalimbali za mbogamboga na matunda.
Baadhi ya watalii wakipata maelezo kuhusiana na Kampuni ya Grumeti Fund inavyojitahidi kuwainua wananchi kiuchumi kupitia miradi yao ya uzalishaji mali.
Chanzo cha asili cha maji katika kijiji cha Issenye kilicho wilayani Serengeti kimeboreshwa na kampuni ya Grumeti Fund ,ambapo kwa sasa wananchi wa vijiji vya Nagusi na Issenye wananufaika na huduma ya maji hayo.
Afisa Maendeleo ya Jamii Kampuni ya Grumeti Fund Frida Mollel kulia akimtiwisha ndoo ya maji Mariam Joseph Mkazi wa kijiji cha Issenye mara baada ya kuchota maji katika chanzo cha maji cha asili kilichoboreshwa.
Eneo hilo ndipo kilipo kisima cha Musira kijiji cha Issenye ambacho awali kililindwa kwa mila na desturi lakini sasa eneo hilo Kampuni ya Grumeti Fund imewapa wananchi mizinga ya nyuko kama sehemu ya kulinda mstu huo muhimu ambao unahifadhi chanzo cha maji kwa ajili ya jamii ya eneo hilo.lakini pia kama chanzo cha uchumi kwa wananchi.
Miongoni mwa mambo yanayovutia na kuhamasisha wanawake wengi kujituma bila kuchagua kazi ni pamoja na dreva na mwongoza wageni wa kike kutoka kampuni ya SINGITA GRUMET.
Eneo la ufugaji wa nyuki chini ya shule ya sekondari ya Issenye ,mizinga iliyotolewa na Kampuni ya Grumet Fund na inadawa mradi huo umechangia kuingiza mapato kwa shule hiyo kwa ajili ya uendeshaji wa shule.
Picha ya pamoja ya waandishi wa habari na Kampuni ya Grumeti ilipigwa
0 comments:
Post a Comment