Fahari ya Serengeti

Saturday, October 7, 2017

WASISITIZWA KUFANYA KAZI KWA KUZINGATIA MAADILI

 Wahitimu wa ngazi ya Stashahada ya Uuguzi na Ukunga na wahudumu wa afya ngazi ya Jamii 74 waliotunukiwa vyeti katika Chuo cha Sayansi ya Binadamu Kisare wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara wameaswa kutumia elimu yao kuhudumia wananchi kwa kuzingatia maadili na viapo vyao.
Mkuu wa wilaya Nurdin Babu amesema umuhimu wao utaonekana iwapo watafanya kazi zao kwa kuzingatia viapo vyao na kuepuka kuomba na kupokea rushwa kwa wagonjwa.
 Wakiwa na nyuso za furaha kabla ya kutunukiwa vyeti
 Mgeni rasmi na viongozi mbalimbali




 Kiapo hicho kiwe silaha yao siku zote za maisha yao,na huo ndiyo msingi na roho ya kazi yao.

Dk Musuto Chirangi

0 comments:

Post a Comment