Fahari ya Serengeti

Saturday, October 7, 2017

WAHITIMU 74 WA NGAZI MBALIMBALI WATUNUKIWA VYETI CHUO CHA KISARE SERENGETI


Dc Serengeti Nurdin Babu kwa niaba ya Rc Mara Dk Charles Mlingwa akimtunuku mmoja wa wahitimu Chuo cha Sayansi ya Binadamu Cheti katika Mahafali ya 17 ya chuo hicho ambapo  jumla ya wanachuo 74 wa ngazi mbalimbali wametunukiwa vyeti.
Dc Nurdin Babu akipitia taarifa ya Chuo hicho kabla ya kutunuku vyeti katika Mahafali ya 17 ya chuo hicho.

 Maandamano ya kuelekea ukumbini
 Bendi ya Tarumbeta iliongoza maandamano
 Mjadala mdogo mdogo wakati wanaelekea ukumbini
 Hongera sana kila kwa kufikia hatua hiyo sasa kawatumikie wananchi kwa uadilifu

 Wahitimu wakielekea ukumbini kwa mbwembwe


0 comments:

Post a Comment