Mkuu wa wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara Nurdin Babu akipata maelezo kutoka kwa walimu jinsi wanavyotumia mbinu mbalimbali kuhakikisha watoto wanajua kusoma,kuandika na kuhesabu wakati wa kuhitimisha wiki ya elimu wilayani hapo,Hata hivyo amewaagiza kuhakikisha tatizo la wasiojua kusoma na kuandika linakwisha wilayani hapo.
Mikakati mbalimbali inafafanuliwa na walimu
Mbinu nyingine ni kutumia michezo
Hongera sana mtoto kwa kufanya vizuri
Tuesday, October 10, 2017
Home »
» WALIMU WATAKIWA KUHAKIKISHA TATIZO LA KUTOKUJUA KUSOMA NA KUANDIKA LINAKWSHA
0 comments:
Post a Comment