Fahari ya Serengeti

Monday, October 2, 2017

THRDC YATHAMINI MCHANGO WA WATETEZI

 Samwel Mwaisapila kushoto akinikabidhi Tuzo toka Tanzania Human Rights Defenders Coalition(THRDC)kwa kutambua mchango wangu kama Focal Person wa Kanda ya Ziwa toka mwaka 2012-2017,Nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu,maana bila yeye nisingefika hapo,Ashukuriwe Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo,na azidi kuniwezeshe kuyatenda mambo makuu ambayo yanaonekana ya thamani machoni mwa watu,Asante THRDC na Wanachama wote kwa kuniona nastahili kupata tuzo.


 Napokea Cheti cha Appreciation ,nazidi kusema asante Mungu na azidi kunijaalia afya njema na nguvu za kuwatetea wanyonge


 Nimepokea pia kitita kwa ajili ya kuniwezesha kupata nguvu za kuendelea kuwatumia watanzania vema,Asanteni Thrdc
 Asante sana ,kazi inaendelea

0 comments:

Post a Comment