Meneja wa NMB Benki Kanda ya Ziwa Abraham Agostino kulia akimkabidhi Katibu Tawala wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara madawati 50 yenye thamani ya sh milioni 5 kwa ajili ya shule ya Msingi Tamukeri kata ya Mbalibali,ikiwa ni sehemu ya kurudisha faida kwa jamii.
Viongozi wakiwa wanajadiliana mambo mbalimbali meza kuu
Wanafunzi serengeti sec
Wednesday, October 25, 2017
Home »
» NMB BENKI YATATUA TATIZO LA WANAFUNZI TAMUKERI KUKAA CHINI
0 comments:
Post a Comment