Fahari ya Serengeti

Monday, October 2, 2017

NSSF YAWAJENGEA UWEZO WASTAAFU SERENGETI.

Dc Serengeti Nurdin Babu akifungua semina ya wastaafu wa wilaya ya Serengeti iliyoandaliwa na NSSF mkoa wa Mara,amewataka kutumia vema mafao yao ili waweze kukabiliana na changamoto za maisha.
Meneja wa NSSF Mkoa wa Mara Mvungi Sadiki akielezea malengo ya semina kuwa ni kuwajengea uwezo wa kutumia mafao yao kwa ajili ya maendeleo na wawekeze kwenye viwanda vidogo vidogo ili kuinua uchumi wao.
Anasisitiza jambo
Picha ya pamoja ikapigwa




wakifuatilia mada.




0 comments:

Post a Comment