|
Wakazi wa Kitongoji cha Ramakendo kata ya Morotonga wilaya ya Serengeti wakiangalia mzoga wa ng'ombe kati ya waliopigwa radi iliyoambatana na Mvua,hata hivyo afisa mifugo ameamru mizoga hiyo kuzikwa,uamzi ambao umepingwa na wananchi waliokuwa wamejiandaa kuwachuna ili wagawane nyama. |
Wanatafakari uamzi wa afisa mifugo wa kata ya Morotonga kuwataka wafukie mizoga wakati wao wamejiandaa kwa kugawana kitoweo
Tafakari inaendelea
Kila mmoja anasikitikia tukio hilo
0 comments:
Post a Comment