Wednesday, October 11, 2017
Home »
» KONGAMANO LA MIAKA 18 BILA MWL NYERERE KUKUTANISHA WADAU WA UHIFADHI SERENGETI
KONGAMANO LA MIAKA 18 BILA MWL NYERERE KUKUTANISHA WADAU WA UHIFADHI SERENGETI
fRANKFURT ZOLOGICAL SOCIETY(FZS)SERENGETI TOURISM COLLEGE(SETCO)NA SERENGETI MEDIA CENTRE(SMC)wameandaa KONGAMANO LA MIAKA 18 BILA MWL NYERERE,JE TUNAMUENZIJE KATIKA ULINZI WA MALIASILI ZETU?,Washiriki watatoka ndani na nje ya Mkoa wa Mara ,SENAPA,TAWIRI,IKONA WMA,FRANKFURT ,GRUMETI FUND/RESERVES NA IKORONGO (IGGR)watatoa mada,kwa walioalikwa hili si la kukosa .
0 comments:
Post a Comment