Afisa Mtendaji wa kata ya Kyambahi wilayani Serengeti Mkome Manyanya akitoa ufafanuzi wa hitaji la madawati kwa sule tatu za msingi katani hapo ambapo madawati yaliyokuwa yakihitajika ni 174 yenye thamani ya zaidi sh 2 mil.lakini katika harambee hiyo iliyoendeshwa...
Thursday, June 30, 2016
WAJITOLEA KUJENGA BWENI ;KUWANUSURU WASICHANA RING'WANI SEKONDARI-SERENGETI

Ctherine Ruge Katibu wa shirika lisilo la Kiserikali la Girls Education Support Initiatives (gesi)kushoto akiwa ameshikana mkono na baba yake mzazi Ruge na wananchi wa kata ya Magange na Ring'wani wakimpongeza kwa uamzi wake wa kusaidia watoto wa kike katika shule ya...
WAKAZI WA KATA YA BUSAWE WILAYANI SERENGETI WAJENGA KITUO CHA AFYA NA KUKABIDHI HALMASHAURI.
Kituo cha Afya kilichojengwa na wakazi wa kata ya Busawe wilayani Serengeti waishio nje ya wilaya,kwa kushirikiana na walio katani hapo na halmashauri wamejenga kituo cha afya chenye thamani ya zaidi ya sh 150 mil.na kukabidhi halmashauri kwa ajili ya uendeshaji
Baadhi...
Friday, June 24, 2016
MBUGE YA KUANGAMIZA GUGU LA KIDUHA YAANZA KUSAMBAZWA KWA WAKULIMA WA MAHINDI SERENGETI
Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
...