Wadau wa Elimu Ikoma Sekondari wilaya ya Serengeti wakiwa kwenye mjadala wa wazi ulioendeshwa na Marafiki wa Elimu wilayani humo ambao umeibua changamoto mbalimbali za elimu ikiwemo wazazi kutokuelewa maudhui ya sera ya Elimu msingi bila Malipo,na wamegoma kuchangia chakula cha watoto wakidai serikali inatoa.
Wanafunzi wa Ikoma sekondari wakifuatilia mjadala wa changamoto za elimu chini ya Marafiki wa Elimu. |
Rafiki wa Elimu Luzama Faustine akifafanua mada ya Mtoto na kuwataka walimu kutokutoa adhabu ambazo zinawafanya watoto wachukie shule
Wanafuatilia
0 comments:
Post a Comment