Mbunge wa Jimbo la Serengeti Marwa Ryoba akikagua timu ya mpira ya Kibeyo Fc kabla ya kupambana na timu ya timu ya Polisi Fc,hata hivyo timu hiyo iligomea mchezo baada ya kufungwa goli moja na kuifanya timu ya Polisi kutawazwa mabingwa wa wilaya
Diwani wa Kata ya Kisangura Smason Wambura akimkabidhi zawadi diwani wa kata ya Nyansurura Francis Garatwa akiwakilisha timu ya Nynsurura Fc
Nahodha wa timu ya Polisi Fc Samwel Manyero akipokea zawadia kutoka kwa mgeni rasmi kufuatia timu yake kuibuka mabingwa
0 comments:
Post a Comment