Baba Askofu wa Jimbo Katoliki Musoma Michael Msonganzila wa tatu toka kushoto amewasifu wanajumuiya ya Mtakatifu Maria Mama wa Mungu Parokia ya Mugumu Serengeti kwa mshikamano wao walionao katika kusali na shughuli nyingine zinazowahusu,amewahimiza kudumisha umoja huo,huku akikemea wakristo wanaojihusisha na matendo mabaya ambayo yanaharibu sifa yao.wa pili kushoto Paroko Alois Magabe,wa kwanza kulia ni Vedastus Makaranga na masisita
Baba Askofu anamwombea Josephina Bakhita mama mzazi wa Anthony Mayunga ambaye anasumbuliwa na ugonjwa wa sukari na moyo kwa zaidi ya miaka miwili,Mungu aliyefufua watu atamponya na maradhi hayo |
Nyimbo zimeimbwa na kwaya ya Mt.Fransisko wa Asizi
Ibada inaendelea
Anawalisha neno waumini
Wakati wa mageuzo
Pokea mwili wa kristo
0 comments:
Post a Comment