Mada mbalimbali zikitolewa na Paul Makuri mmoja wa wahitimu wa Shirika la FES ambalo limefadhili mafunzo hayo ambayo yanalenga jamii zilizoko pembezoni.
|
Mkaguzi wa ndani wa hesabu halmashauri ya wilaya ya Serengeti JuliusNguruka akitoa mada kwa viongozi wa vitongoji,vijiji,dini,walimu na wazee wa mila kata ya Mbalibali wilayani Serengeti ,juu ya utawala bora,ushirikishaji jamii na namna ya kutumia rasilimali zinazowazunguka kwa ajili ya kujiletea maendeleo,mafunzo yaliyoratibiwa na Shirika la Kijermani la Friedrick Ebarf Stiftung(FES) Tanzania ,lengo ni kuhakikisha jamii inashiriki katika mipango na kusimamia shughuli za maendeleo zinazotekelezwa katika maeneo yao. |
Viongozi mbalimbali wakiendelea na semina
Dozi inazidi kuwaingia
Nimefurahi kuona hii habari hapa kwenye blog yenu; Serengeti Media Centre.Tuendelee kuelimisha na kuhabarisha wananchi yetu. Sisi wananchi wa Serengeti tunawategemea sana.
ReplyDeleteKila la kheri ktk kazi zenu.