Katibu Tawala wilaya ya Serengeti Cosmas Qamara kwa niaba ya Mkuu wa wilaya hiyo Nurdin Babu akitoa nasaha kwa watu waliojitokeza kwenye uzinduzi wa mazoezi ya kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambukizwa kama kisukari na ugonjwa wa moyo kwenye uwanja wa Sokoine mjini Mugumu.
Baadhi ya watu waliojitokeza kwenye mazoezi wakibadilishana mawazo mara baada kumaliza zoeziWakifuatilia maelekezo ya namna ya kufanya mazoezi.
Katibu tawala akishaurina na watalaam mbalimbali wa afya
Mtaalam wa afya ya viungo hospitali ya Nyerere akitoa maelekezo namna ya kufanya mazoezi yanayoleta afya .
Padri Aloyce Magabe akiongoza zoezi la viungo.
Mallya akitoa maelekezo ya namna ya kufanya mazoezi ya viungo
Babu Chile akipasha
Askari Polisi waliongoza mazoezi
Wanapasha
0 comments:
Post a Comment