Ujenzi wa shule ya mahitaji maalum Mugumu waenda kasi sana kama inavyoonekana |
Mbunge wa Jimbo la Serengeti Mkoa wa Mara Marwa Ryoba akipata maelezo kuhusiana na ujenzi wa shule yenye mahitaji maalum Mugumu ,Zaidi ya watoto 200 wanatarajiwa kunufaika na mradi huo. |
Kazi zinaendelea
0 comments:
Post a Comment