Fahari ya Serengeti

Tuesday, March 7, 2017

MBUNGE AKAGUA MRADI WA CHUJIO BWAWA LA MANCHIRA

 Mbunge wa jimbo la Serengeti Marwa Ryoba akikagua mradi wa chujio katika bwawa la Manchira ambao unatakiwa kukamilika aprili 27 mwaka huu.
 Shughuli zinaendelea ili kuhakikisha wanakabidhi siku hiyo.
 Kazi zinaendelea
Mafundi wakiendelea na upasuaji

0 comments:

Post a Comment