Mada mbalimbali zikitolewa na Paul Makuri mmoja wa wahitimu wa Shirika la FES ambalo limefadhili mafunzo hayo ambayo yanalenga jamii zilizoko pembezoni.
Mkaguzi wa ndani wa hesabu halmashauri ya wilaya ya Serengeti JuliusNguruka akitoa mada kwa viongozi...
Friday, March 31, 2017
KESI YA NGARIBA YAPIGWA TAREHE
SERENGETI MEDIA CENTRE
Ngariba Wansato Buruna kushoto akiwa mahakamani ,kulia ni mwenzake ambao wanashitakiwa kwa makosa ya kukeketa watoto.
Kushindwa kufika mahakamani kwa watoto ambao ni wanafunzi kumesababisha kesi tano za jinai zinazomkabili Ngariba...
SERENGETI MEDIA CENTRE: JELA MIAKA 30 KWA KUBAKA
SERENGETI MEDIA CENTRE: JELA MIAKA 30 KWA KUBAKA: Serengeti Media Centre. Joseph Nyiboha(22)mkazi wa kijiji cha Borenga wilayani Serengeti Mkoani Mara amehukumiwa kifungo cha miaka...
JELA MIAKA 30 KWA KUBAKA
Serengeti Media Centre.
Joseph Nyiboha(22)mkazi wa kijiji cha Borenga wilayani
Serengeti Mkoani Mara amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kubaka na kumpa mimba mwanafunzi
aliyekuwa amechaguliwa na kujiunga na kidato cha kwanza Machochwe sekondari.
Hata...
Thursday, March 30, 2017
JELA KWA KUISHI NCHINI BILA KIBALI
Serengeti Media Centre
Gari la Polisi likitoka mahakama ya wilaya kupeleka mahabusu ya Mugumu waliohukumiwa vifungo na mahabusu,Picha na Serengeti Media Centre.
.Mahakama
ya Hakimu Mkazi wa wilaya ya Serengeti
mkoani Mara imemhukumu Julius Chacha(50)kifungo cha...
MWENYEKITI WA SERIKALI YA KIJIJI CHA BORENGA AKATALIWA NA WANANCHI
Wajumbe wa serikali ya kijiji cha Borenga kata ya Kisaka wilayani Serengeti wakiwa wamekaa chini ya mti hawana la kufanya kufuatia afisa mtendaji wa kata hiyo Mturi Sausi kuingia mtini baada ya kubaini kuna waandishi wa habari wanafuatilia sakata la Mwenyekiti wa serikali...
Tuesday, March 28, 2017
SINGITA GRUMETI FUND YAKABIDHI MRADI WA MAJI MTIRIRIKO
Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu akikata utepe kama ishara ya kupokea mradi wa maji Mtiririko katika kijiji cha Iharara uliojengwa na Kampuni ya Singita Grumeti Fund kwa ushirikiano na Shule ya Sekondari ya Issenye na wananchi,kulia kwake ni Mkurugenzi wa Singita...
Friday, March 24, 2017
BEI YA VYAKULA SOKO LA MUGUMU YAZIDI KUPAA
Baadhi ya wauza nafaka za vyakula katika soko la mjini Mugumu wilayani Serengeti wakisubiri wateja,bei ya mahindi kwa debe ni sh 25,000 hadi 26,000,mtama sh 30,000 ,na udaga ni sh 18,000.bei hizo zimepanda ndani ya wiki moja.
Wauza nafaka hao wanadai kuwa bei...
Sunday, March 19, 2017
MKUU WA MKOA WA MARA AKAGUA UJENZI WA MADARASA NA BWENI LA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM
Mkuu wa Mkoa wa Mara Dk Charles Mlingwa akikagua ujenzi wa madarasa manne na bweni la watoto wenye mahitaji maalum shule ya msingi Mugumu wilayani Serengeti ambayo yanagharimu zaidi ya sh 245 mil.Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu.
Shughuli...
Saturday, March 18, 2017
TANESCO WAAHIDI KUSAMBAZA UMEME MAENEO YOTE YA ROBANDA
Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco)wilaya ya Serengeti Mhandisi Magoti Mtani akitoa maelezo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Mara Dk Charles Mlingwa kushoto jinsi walivyosambaza umeme katika kijiji cha Robanda kwa kupitia chini(Underground)na kuahidi kuwa ya kipaumbele kama...