Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara Juma Ndaki akionyesha mtambo wa gongo uliokamatwa katika kijiji cha Machochwe wilaya ya Serengeti ,katika operesheni hiyo katika kata za Nyansurura na Machochwe walikamata watu 14,lita 150 za gongo na mtambo mmoja wa gongo.
Mtambo wa gongo
Anaangalia mtambo wa gongo
Tuesday, February 13, 2018
Home »
» WATU 14 WANASWA NA LITA 150 ZA GONGO NA MTAMBO WAKE
0 comments:
Post a Comment