Wakazi wa kijiji cha Nyansururawilaya ya Serengeti wakiwa katika kikao cha kujadili namna ya kutunza vyanzo vya maji,na kuchimba vyoo bora kupitia Mradi wa RAIN unaotekelezwa na amref health tanzania kwa ufadhili wa Cocacola Foundation .
Mijadala ya Utunzaji wa vyanzo vya maji unaendelea.
Wanafunzi wa shule ya msingi Nyansurura wakiwa wakishiriki mjadala pamoja na jamii
Wanachora ramani ya kijiji
Saturday, February 3, 2018
Home »
» MRADI WA RAIN WAWAJENGEA UWEZO WANANCHI UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI
0 comments:
Post a Comment