Mwezeshaji toka Right To Play Leah Tarimo akiongoza kipindi cha Changamoto za elimu kwa kikosi maalum kinachounda na waratibu elimu na Wadhibiti Ubora wa Elimu wilaya yaSerengeti Mkoa wa Mara ambao watahusika na kuelimisha walimu ufundishaji kwa kutumi njia ya Michezo shuleni.
Mmoja wa washiriki akiwasilisha kazi za kikundi
Washiriki wakiendelea na kipindi.
Wanafuatilia mada
Mratibu wa Shirika la Right To Play Serengeti Idd Ramadhani akiendelea na kazi wakati wa Mafunzo ambayo yameshirikisha Waratibu Elimu na Wadhibiti Ubora wa Elimu na Afisa Michezo wilaya.
Sophia Chamuriho Mratibu elimu kata ya Mugumu akiwasilisha kazi ya vikundi
Burudani za hapa na pale zilikuwepo
Uwasilishaji.
Saturday, February 17, 2018
Home »
» RIGHT TO PLAY YAANDAA TIMU YA KUFUNDISHA KWA NJIA YA MICHEZO
0 comments:
Post a Comment