Miongoni mwa mambo yaliyokuwa kivutio ni huyo ndugu aliyevaa sura iliyowaacha wengi na maswali mengi
Dc Musoma akiwa na baadhi ya watu waliokuwa wakizunguka uwanja kama watu wa tamaduni,kamati ya ufundi,ingawa inadaiwa ilikuwa ni mbinu za ushindi.
Anashangilia
Mshike mshike uwanjani ,mashabiki wakishangilia baada ya kipenga cha mwisho kupulizwa
Kila mmoja kivyake lakini anashangilia
Kazi imekwisha sasa ligi kuuuuu
Biashara United Ligi KUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
Thursday, February 8, 2018
Home »
» TUJIKUMBUSHE MATUKIO SIKU BIASHARA UNITED INAPANDA LIGI KUU
0 comments:
Post a Comment