Askari wa I kona Wma na viongozi wao wakiwa wameziba njia za kupita watalii wa kampuni ya Grumeti Reserves baada ya kutolipwa zaidi ya sh 1.5 bil kwa kipindi cha miaka 4 ,wakati akifanya biashara ya utalii wa picha,pango na uwindaji kwenye eneo la hifadhi hiyo.
hata hivyo Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu aliingilia kati kunusuru hali hiyo na kuwataka wafike ofisini mwake,na kuitaka kampuni hiyo kulipa deni wanalodaiwa ili jumuiya iweze kuendesha shughuli zake za uhifadhi .
Baadhi ya askari wa hifadhi hiyo wakiwa kwenye maeneo maalum ya njia ili kuzuia magari ya wageni yasiweze kupita.
Hakuna gari kupita mmoja wa askari anadai.
Udhibiti unaendelea.
Mhifadhi mkuu wa Ikona akifafanua sababu za kuziba njia hiyo.
Monday, July 3, 2017
Home »
» IKONA WMA WAWAFUNGIA WAGENI WA GRUMETI NJIA WAKISHINIKIZA KULIPWA DENI LA ZAIDI YA SH 1.5 BIL
0 comments:
Post a Comment