Fahari ya Serengeti

Thursday, July 13, 2017

WAZAZI WAWASINDIKIZA WATOTO KUPATA CHANJO YA MAGONJWA YASIYOPEWA KIPAUMBELE

 Baadhi ya wazazi wa kijiji cha Ketembere wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara wakiwa na watoto wao wakazi wa zoezi la kuwapa chanjo ya magonjwa yasiyokuwa ya kuambukizwa ,watoto 83694 wanatarajiwa kupata chanjo hiyo katika wilaya ya Serengeti.
 Mkuu wa Mkoa wa Mara Dk Charles Mlingwa kulia akipata maelezo kabla ya kuzindua chanjo ya magonjwa yasiyopewa kipaumbele.
 Viongozi wakiwa katika picha ya Pamoja na wanafunzi wa shule ya msingi Ketembere baada ya kupata chanjo ya magonjwa yasiyopewa kipaumbele.
 Wamepanga mstari


Wazazi wakifuatilia zoezi kwa makini

0 comments:

Post a Comment