Licha ya maeneo mengi kukabiliwa na ukame ,kondoo katika maeneo ya Issenye wilayani Serengeti wanazidi kushamiri,huku wafugaji wakikiri kuwa soko lake linaongezeka.
Watoto wakipeleka kondoo kwa ajili ya kuchunga,hata hivyo ufugaji huo unadaiwa kuathiri masomo ya watoto.
Watalii wakipita barabara ya Issenye kuelekea hifadhi ya Taifa ya Serengeti kutokea Musoma.
Thursday, July 13, 2017
Home »
» UFUGAJI WA KONDOO WASHAMIRI ISSENYE SERENGETI
0 comments:
Post a Comment