Ni miongoni mwa watoto kumi waliopata Sakramenti ya Komnio katika ibada ya Misa ya Familia Takatifu(mwaka mpya)Kanisa Katoliki Mugumu Serengeti ambapo ndoa moja imefungwa .
Padri Alois Magabe akiendesha ibada ya Ubatizo wa Wilson Kanga ambaye amebariki ndoa na Mkewe Sarafina
Wanashikana kwa upendo baada ya kubariki ndoa yao.
Kwaya ya Mtakatifu Fransisco wa Asizi Parokia ya Muguu Serengeti wamehanikiza vema kwa nyimbo wakati wa ibada ya misa takatifu ya mwaka mpya.
Wanandoa wakiwa wanafuatilia mahubiri
Wanahubiri kwa njia ya nyimbo,wamechagua fungu lililojema.
Sweetbertha akitoa sadaka
Waumini wakifuatilia mahubiri.
Misa ikiendelea
Wamepata Komnio
Matoleo yametolewa na hapo wanabariki
Ibada inaendelea
Wanafurahia kupata komnio
Kama ilivyokuwa kwa Mamajusi waliofuata nyota ,waumini nao wanakwenda horini
HONGERA ALICE
Sunday, January 1, 2017
Home »
» YALIYOJIRI IBADA YA MWAKA MPYA KANISA LA RC MUGUMU
0 comments:
Post a Comment