Fahari ya Serengeti

Wednesday, January 11, 2017

VYUMBA VYA MADARASA NA MADAWATI VYAHITAJIKA SERENGETI

 Wanafunzi wa darasa la pili shule ya Msingi Mapinduzi B'Mugumu mjini wilayani Serengeti wakiwa wakiendelea na masomo ,baadhi wakiwa wamekaa chini kwa kukosa madawati.

Katika chumba kimoja chenye uwezo wa kuhudumia watoto 45 kama taratibu zinavyoruhusu wanakaa 125 kutokana na upungufu wa vyumba vya madarasa.
Shule hiyo ina upungufu wa madawati 132 na vyumba vya madarasa 7.
Aidha kuna uwezekano wa mahitaji kuongezeka kutokana na idadi kubwa ya watoto waliokwisha andikishwa ambapo lengo lilikuwa ni watoto 106 na wameishaandikisha 210 na wanaendelea.


 Kutokana na upungufu wa madawati wanalazimika kukaa wanne badala ya watoto hali ambayo husababisha migogoro wakati wa kuandika.
 Baadhi ya wazazi wakiwa na watoto wao kwa ajili ya kuandishwa kuanza elimu ya msingi.
 Mwalimu mkuu msaidizi Lydia akiwa anaendelea na majukumu yake.
 Masomo yanaendelea
 Mwalimu Magreth Christophera akiwa anaendelea na kazi
 Kazi zinaendelea
 Kila mmoja na mkao wake lakini masomo yanaendelea


Wanasaka elimu bora.

0 comments:

Post a Comment