Dc Serengeti Nurdin Babu akipokea maelezo kutoka kwa kiongozi wa waliohitimu Mafunzo ya Mgambo katika kijiji cha Nyichoka wilaya ya Serengeti,mafunzo hayo yaliyochukua muda wa miezi mitatu yalishirikisha jumla ya watu 97 lakini waliohitimu ni 77 wanawake wakiwa wanne.
Wanaonyesha uwezo wao mbele ya mgeni rasmi.
Mkufunzi wa mgambo Marwa Makorere akitoa maelekezo kwa mgambo waliofuzu
Gwaride
Makamanda wakifuatilia gwaride
Mambo yanaenda yakiongezeka
Single inamsumbua,mkufunzi anamwambia asiwe kama maserure(majeruhi)
Msisitizo
Wanakimbia kikakamavu
Monday, January 9, 2017
Home »
» WAFUZU MAFUNZO YA MGAMBO,DC ACHIMBA MKWARA KWA WAKEKETAJI
0 comments:
Post a Comment