Wageni waalikwa,wanakwaya na wanajumiya ya Mtakatifu Maria kigango cha Mugumu Parokia ya Mtakatifu Fransisco wa Asizi Mugumu Jimbo Katoliki Mugumu wakipata chakula mara baada ya Misa Takatifu ambayo iliambatana na ubatizo wa watoto watano.
Huduma zinaendelea kwa wageni
Waalikwa na wenyeji wanaendelea kupata huduma ya chakula.
Mambo yanaenda yakiongezeka
Kila mmoja alipata alichohitaji
Waache watoto waje kwangu,huo ni wito wa Yesu Kristu na Jumuiya ya Mt.Maria inawaona hao watoto kama nguzo hawakubaki nyuma.
Mpiga Picha maarufu wa Jumuiya Alice akipata huduma ya chakula baada kuchukua matukio mbalimbali ya shughuli nzima.
Wanajumuiya wanaendelea na chakula.
Paroko Alois Magabe wa kanisa Katoliki Mugumu akiwa na familia ya Elias ambayo ilimbatiza mtoto wao aliyebebwa.
Mpiga Picha Alice akiwa katika ubora wake.
Baada ya ubatizo wakiwa wamekaa pamoja na watoto wao hakika ilipendeza.
Ubatizo unaendelea.
Kwaya ya Mt.,Maria Mama wa Mungu Parokia ya Mugumu wakihanikiza kwa nyimbo mbalimbali za kumtukuza Mungu.
Ibada inaendelea
Humphrey akipakwa mafuta
Humphrey akibatizwa.
Ubatizo ukiendelea
Wakipata komnio
wanafuatilia ibada
Pokea Mwili wa Kristo,Amina ni sauti ya Padri kwa mmoja wa waumini.
Thomas Burito ambaye alikuwa mshehereshaji wa sherehe ya Jumuiya akisoma historia ya Bikra Maria.
Hilda Kulaya akisoma historia ya Jumuiya.
Mary akiwa na wanawe wawili ambao walipata ubatizo.
Wanapata komnio
0 comments:
Post a Comment