Baadhi ya watoto walioko katika Kituo cha Nyumba Salama Mugumu mjini Wilayani Serengeti ambao wamepewa hifadhi hapo baada ya mwaka jana kukimbia kukeketwa kutoka wilaya mbalimbali za mkoa wa Mara,wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza kufanya mazoezi,Jumla ya watoto 107 walikataliwa na wazazi wao na walipokelewa ni 134.
Michezo ni sehemu ya afya wanaendelea na mazoezi
Pia wanashughulika na shughuli za kilimo cha mboga mboga ambazo huzitumia wao wenyewe
0 comments:
Post a Comment