Fahari ya Serengeti

Thursday, January 12, 2017

TIMU YA RIADHA WILAYA YA SERENGETI YAUNDWA

 Wanariadha kutoka maeneo mbalimbali wilayani Serengeti wakichuana ili kuunda timu ya wilaya itakayoshiriki michuano ya Nyika Nyamongo januari 15 mwaka huu.

Vijana wengi wameonyesha viwango vya hali ya juu kwa kimbia mbio fupi na ndefu kwa muda mfupi,jitihada za wilaya na wadau wa michezo inatakiwa ili kuendeleza vipaji hivyo.
 Mchuano unaendelea Uwanja wa Sokoine Mugumu Serengeti.
 Mmoja wa wanariadha akiwa ameshikiliwa baada ya kuzidiwa wakati wa mbio za mita 200.
 Wanasubiri kuanza mbio.

 Anapewa mazoezi baada ya kumaliza mita 200.

 Anashangilia baada ya kumaliza wa kwanza mita 200


0 comments:

Post a Comment