Fahari ya Serengeti

Friday, January 20, 2017

MAANDALIZI YA TUMBAKU YANAENDELEA

 Wakulima wa zao la tumbaku katika kijiji cha Gwikongo kata ya Mbalibali wilayani Serengeti wakiendelea na maandalizi kwa ajili ya hatua ya kukausha.
Msimu unatarajiwa kufunguliwa februari 6 mwaka huu chini ya Kampuni ya Alliance One Tobacco Morogoro na bodi ya Tumbaku Tanzania.



 Kazi na dawa wakulima wakipata uji ili waweze kupata nguvu za kuendelea na kazi ya kufunga tumbaku kwa ajili ya ukaushaji.




0 comments:

Post a Comment