Joseph Magoiga mgombea udiwani kata ya Stendi kuu mjini Mugumu akiwa katika ofisi ya afisa mtendaji kata ya Stendi Kuu Remmy Ngoso kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea udiwani kata hiyo.
Joseph Magoiga akionyesha fomu ya kugombea udiwani mara baada ya kukabidhiwa,kushoto mwenye fomu ni Grace Nyangeta Kagina anawania udiwani kata ya Morotonga
Thursday, August 13, 2015
Home »
» CUF SERENGETI WAANZA KUCHUKUA FOMU ZA UDIWANI
0 comments:
Post a Comment