Kada wa Act Wazalendo jimbo la Serengeti akinadi sera za chama hicho siku ya uzinduzi.
Viongozi wa Act wazalendo baadhi wakisikiliza ,na wengine kutafakari kama inavyoonekana.
Mashabiki wa Act wazalendo
Mgombea wa Act wazalendo jimbo la Serengeti Thomas Burito akiwasiliana na mmoja wa makada wa chama hicho.
Mgombea wa Act wazalendo Thomas Burito mwenye Kipaza sauti akipongezwa na mashabiki wake kabla hajaanza kumwaga sera
0 comments:
Post a Comment