Fahari ya Serengeti

Thursday, July 27, 2017

TAKUKURU YAMPANDISHA KIZIMBANI MKURUGENZI WA MUWASA KWA KUGHUSHI NYARAKA

SERENGETI MEDIA CENTRE. Mara .Mkurugenzi wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Musoma  Hawaju Said Gantala (42)amefikishwa katika mahakama ya wilaya Musoma kwa Makosa 15 ya kughushi nyaraka na kujipatia sh 63,400,000 kinyume cha sheria. Mbele ya hakimu wa mahakama hiyo  Karimu Mushi ,wakili wa Takukuru Mkoa wa Mara Moses Malewo katika kesi...

Wednesday, July 26, 2017

KILIO CHA TOZO ZA SINGLE ENTRY CHAWAKUTANISHA WADAU

 Katibu wa Ikona Wma iliyoko wilayani Serengeti Yusuph Manyanda akisoma changamoto zinazotokana na Tozo ya Single Entry kwa wawekezaji walioko nje ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti ikiwemo kupungua kwa wageni,baadhi ya kambi kufungwa ,vijana kukosa ajira,mapato ya Wma...

Monday, July 24, 2017

ZIARA YA KAMATI YA FEDHA MIPANGO NA UCHUMI YABAINI MAMBO MENGI

 Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Serengeti Juma Porini wa pili kulia akiwa na wajumbe wa kamati ya Fedha Mipango na Uchumi wakati wakikagua miradi ya maendeleo .  Afisa Tabibu wa zahanati ya Rung'abure Johstone Bushanya akielezea sababu za waganga kutokuwepo...

CRDB BANK YAAHIDI KUUNGANA NA WADAU KUTANGAZA UTALII WA NDANI

 Meneja wa Crdb Bank Tawi la Mugumu wilaya ya Serengeti Melkoir Mapunda akimwelezea Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu jinsi Bank hiyo ilivyojipanga kusaidiana na wadau mbalimbali kutangaza utalii wa ndani ili kusaidia jamii kutumia fursa hiyo kwa ajili ya kujipatia...

Wednesday, July 19, 2017

MAONESHO YA SABA YA UTALII WA KITAMADUNI YAFUNGULIWA SERENGETI

 Mmoja wa washiriki katika maonesho ya Serengeti Cultural Festival kutoka Mbeya akiwa na bidhaa yake ya madawa ya asili,Mkuu wa wilaya Nurdin Babu kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mara Dk Charles Mlingwa amefungua rasmi maonesho hayo ya siku tatu.  Wajasiriamali wa...