Ng'ombe aliyetolewa kwa bingwa wa mashindano ya mpira ligi ya Umoja Cup akiwa amezungukwa na wachezaji na mashabiki mbalimbali wa Mageta Fc baada ya kuifunga Seronga Fc bao 1-0 katika Uwanja wa Sokoine Mjini Mugumu Serengeti ambayo iliandaliwa na Serengeti Media Centre,Magoiga na Mageta.Pia timu hiyo ilipata mpira na ilipata sh 40000 na cheti kama timu bora na mfungaji bora alitoka timu hiyo akajipatia sh 50,000.

MABINGWA WA UMOJA CUP MAGETA SPORT WAKIWA KATIKA UBORA WAO
Mashabiki wakiwa nje ya kamba wakifuatilia mpambano mkali kati ya Mageta Sports na Seronga Fc
Timu ya Polisi Fc waliambulia nafasi ya nne na kupata mpira mmoja.
Seronga fc wakipasha kabla ya kuingia uwanjani hata hivyo waliambulia kipigo kutoka kwa mahasimu wao Mageta Spots.
Mbunge wa jimbo la Serengeti Marwa Ryoba katikati mwenye gwanda la Chadema akifuatilia mchezo kulia ni katibu tawala wa wilaya Cosmas Qamara
Timu ya Mageta Fc
Ukaguzi mbunge akikagua timu ya Mageta Fc
Waamzi
Nasaha mbalimbali zikitolewa
Mashindano ya kukimbia
Bingwa wa mbio mita 10000 Jumanne Ndege akiwa anapasha baada ya kumaliza mbio hizo kwa dkk 40 akiwa na mkuu wa shule ya sekondari Serengeti.
| TIMU ya Seronga Fc washindi wa pili Umoja Cup ambao walipata mbuzi na mpira mmoja wakiwa kwenye ubora wao kabla ya kuanza mchezo. |
| Waamzi wakiwa kwenye eneo lao wakifuatilia mchezo |