TIMU ya Seronga Fc washindi wa pili Umoja Cup ambao walipata mbuzi na mpira mmoja wakiwa kwenye ubora wao kabla ya kuanza mchezo. |
Waamzi wakiwa kwenye eneo lao wakifuatilia mchezo |
Mashabiki wakiwa nje ya kamba wakifuatilia mpambano mkali kati ya Mageta Sports na Seronga Fc
Timu ya Polisi Fc waliambulia nafasi ya nne na kupata mpira mmoja.
Seronga fc wakipasha kabla ya kuingia uwanjani hata hivyo waliambulia kipigo kutoka kwa mahasimu wao Mageta Spots.
Mbunge wa jimbo la Serengeti Marwa Ryoba katikati mwenye gwanda la Chadema akifuatilia mchezo kulia ni katibu tawala wa wilaya Cosmas Qamara
Timu ya Mageta Fc
Ukaguzi mbunge akikagua timu ya Mageta Fc
Waamzi
Nasaha mbalimbali zikitolewa
Mashindano ya kukimbia
Bingwa wa mbio mita 10000 Jumanne Ndege akiwa anapasha baada ya kumaliza mbio hizo kwa dkk 40 akiwa na mkuu wa shule ya sekondari Serengeti.
0 comments:
Post a Comment