Fahari ya Serengeti

Tuesday, August 2, 2016

CHUO CHA SETCO WAJITOKEZA KUTOA ZAWADI KWA TIMU BORA LIGI YA UMOJA CUP

 Meneja wa Chuo cha Utalii Serengeti(setco)Samwel Peter ameahidi kutoa zawadi ya sh 40,000 kwa Timu bora Ligi ya Umoja ,pia wanaangalia uwezekano wa kupata kikombe kwa ajili ya timu bora,wadau mbalimbali wanazidi kujitokeza kuungana na wadhamini wa Umoja Cup ambao ni Serengeti Media Centre,Kampuni ya Sijui Kitu na Mageta



0 comments:

Post a Comment