Viongozi mbalimbali wa wilaya wakiwa na watumishi wa Mahakama ya wilaya ya Serengeti kwenye maandamano ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria yenye Kauli mbiu ya ,MATUMIZI YA TEHAMA KATIKA UTOAJI HAKI KWA WAKATI NA KWA KUZINGATIA MAADILI.
Baadhi ya watoto wa kike waliokimbia...
Monday, January 29, 2018
UZINDUZI WA WIKI YA SHERIA WAWAKUTANISHA WADAU MBALIMBALI SERENGETI
Katibu Tawala wilaya ya Serengeti Cosmas Qamara kulia akiongoza maandamano ya ufunguzi wa wiki ya sheria ambayo yameshirikisha wadau mbalimbali wilayani hapa.
Wanafunzi wakipaza sauti kupeleka ujumbe kwa wadau mbalimbali wakati wa maandamano ya uzinduzi wa wiki...
Friday, January 26, 2018
UCHENJUAJI WA DHAHABU KARIBU NA CHANZO CHA MAJI KWAWATIA HOFU WANANCHI
Wakazi wa kijiji cha Merenga kata ya Nyansurura wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara wameomba serikali ichukue hatua za haraka kuwanusuru kufuatia mtu mmoja kuanzisha kazi ya kuchenjua dhahabu kwa kutumia kemikali aina ya Zebaki karibu na chanzo cha Maji wanachotumia kwa...
Monday, January 22, 2018
ASKOFU AWAONGOZA MAPADRI KUADHIMISHA MISA YA KUTABARUKU ALTARE
Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Musoma Michael Msonganzila akiwaongoza mapadri wa jimbo hilo katika mageuzo ya Ekaristi Takatifu wakati wa Misa ya Kuabaruku altare ya Kanisa Katoliki Parokia ya Issenye na kuadhimisha Jubilei ya Miaka 10 toka amepata uaskofu.
Mapadri...
ASKOFU ATABARUKU ALTARE YA KANISA KATOLIKI ISSENYE
Baba Askofu wa Jimbo Katoliki Musoma Michael Msonganzila akitabaruku altare ya kanisa Katoliki Parokia ya Issenye ikiashiria kuanza kutumika kwa ajili ya misa takatifu,kazi hiyo imekwenda sambamba na kuadhimisha Jubilei ya Miaka 10 toka amepata uaskofu.
Ibada...
Sunday, January 21, 2018
MBUNGE AWATAKA WAKAZI WA MAKUNDUSI KUWADHIBITI WANAOKWAMISHA MAENDELEO
Mbunge wa Jimbo la Serengeti Mkoa wa Mara Marwa Ryoba amekemea tabia za baadhi ya wakazi wa kijiji cha Makundusi wanaondesha kampeini za kukwamisha maendeleo ya kijiji ,kuwa hao hawatakiwi kuwavumilia kwa kuwa wanaangalia maslahi yao badala ya jamii.
Katika mkutano...
WAKAZI WA MAKUNDUSI WARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO
Mwenyekiti wa serikali ya Kijiji cha Makundusi kata ya Natta wilaya ya Serengeti Juma Porini akitoa ufafanuzi wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo na fedha zilizotumika wakati wa mkutano wa hadhara wa kijiji,wananchi wameridhishwa na utekelezaji wa miradi hiyo na hakuna...