Fahari ya Serengeti

Wednesday, December 23, 2015

WAPATA MSAADA WA CHAKULA CHA SIKUKUU





Juma Karamba akigawa msaada wa vyakula ,fedha na vifaa vya shule kwa watoto wanaosoma ambao ni Yatima ,wenye ulemavu na wanaoishi katika mazingira magumu kutoka mjini Mugumu wilaya ya Serengeti,msaada huo ulitolewa na Louise Bouskol maarufu kama mamacheza raia wa Netherland,lengo ni kuwawezesha kusherehekea sikukuu ya krismasi na mwaka mpya ,kwa wanaosoma wapate vifaa vya shule ,jumla ya watoto 30 wamenufaika na msaada huo wenye jumla ya sh 1.5 milioni,picha zote kwa hisani ya Serengeti Media Centre.






Kila aliyepata mchele,maharage pia alipata sh 15,000 kwa ajili ya mahitaji mengine ikiwemo mboga nk.







Makuni yote yalinufaika na msaada huo


Suala la elimu lilipewa kipaumbele kama inavyoonekana hapo,









0 comments:

Post a Comment