Fahari ya Serengeti

Friday, December 18, 2015

UJENZI WA BARABARA YA LAMI MJINI MUGUMU WILAYA YA SERENGETI KUKAMILIKA FEB 2016

 Kampuni ya Samotta ltd inayojenga barabara ya lami kilometa tatu mjini Mugumu wilaya ya Serengeti inatakiwa kukamilisha kazi hiyo feb 2016,kwa sasa wanaendelea na ujenzi wa madaraja kama inavyoonekana hapo,changamoto kubwa ni mvua zinazoendelea kunyesha.



Wanatoa maji yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha ili kuwawezesha kujenga daraja hilo,

0 comments:

Post a Comment