Mafundi wa kampuni ya Samota Ltd wanaojenga barabara ya km 3 kwa kiwangocha lami mjini Mugumu wilaya ya Serengeti kwa zaidi ya sh 1.2 bilioni ambayo inatakiwa kukamilika januari 6 mwakani wakiwa kazini,hata hivyo wanadai mvua zinazonyesha zinatawafanya wasikamilishe kwa wakati,picha zote na Serengeti Media Centre.
Ujenzi wa madaraja unakwenda sambamba na ujenzi wa mitaro
Monday, December 21, 2015
Home »
» MVUA KUCHELEWESHA UKAMILISHAJI WA UJENZI WA BARABARA YA LAMI MUGUMU SERENGETI
0 comments:
Post a Comment