Fahari ya Serengeti

Friday, December 25, 2015

WAKAZI WA KITONGOJI CHA MCHURI KJJ CHA KENYANA W.SERENGETI MKOA WA MARA WAOMBA HATI YA MWEKEZA JI IFUTWE ILI ARDHI HIYO WAPEWE WANANCHI

 Mbunge wa jimbo la Serengeti Mwalimu Marwa Ryoba aliungana na wananchi hao kumtaka waziri wa Ardhi na Makazi afute hati ya mwekezaji wa shamba la Kenyana aliyechukua hati mwaka 1988 mpaka sasa hajawahi kulima ngano wala kuendeleza,na wananchi walioko eneo hilo wamejenga...

Wednesday, December 23, 2015

MBUNGE AWAKUMBUKA WAFUNGWA NA MAHABUSU

Mbunge wa Jimbo la Serengeti Mwalimu Marwa Ryoba amewakumbuka wafungwa na mahabusu wa gereza mahabusu Mugumu kwa kuwapa sabuni maboksi 30,ndizi za kula,fedha na kuahidi kuwanunua jozi mbili za Tv,hapo mzigo unashushwa na Mwenyekiti wa halmashauri hiyo Juma Porini kama inavyooneka. Matunda...

WAPATA MSAADA WA CHAKULA CHA SIKUKUU

Juma Karamba akigawa msaada wa vyakula ,fedha na vifaa vya shule kwa watoto wanaosoma ambao ni Yatima ,wenye ulemavu na wanaoishi katika mazingira magumu kutoka mjini Mugumu wilaya ya Serengeti,msaada huo ulitolewa na Louise Bouskol maarufu kama mamacheza raia...