Wachezaji wa Timu ya Msinki Fc na Kibeyo Fc wakiingia Uwanjani kwa ajili ya kuanza mtanange Mapesa Cup ambapo Kibeyo wameibugiza Masinki Fc mabao 2-0.
Waamzi wakiongoza timu kuingia uwanjani
Wanapata maji na gluecose
Mawaidha toka kwa...
Monday, June 18, 2018
AMBWENE AKONGA NYOYO ZA WANA SERENGETI
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Ambwene akitumbuiza moja ya nyimbo zake katika uwanja wa Sokoine Mugumu Serengeti wakati wa mkutano wa Injili wa siku nne mjini Mugumu.
Wanafuatilia
Akienda kuimba
Baadhi ya kwaya zikitumbuiza
Wanafuatilia...
Saturday, June 16, 2018
Two men arraigned over death of nine Serengeti lions
FRIDAY, JUNE
15, 2018
In Summary
Before the
district resident magistrate Ismalel Ngale, the state attorney Emmanuel Zumba said the suspect committed the
crime on May 30 by killing nine lions worth Sh97 million.
ADVERTISEMENT
By Anthony
Mayunga @TheCitizenTz...
Friday, June 15, 2018
MRADI WA USAFI KWA AFYA WATOA TUZO KWA SHULE ZILIZOFANYA VIZURI
Dc Serengeti Nurdin Babu wa tatu kutoka kushoto waliosimama akiwa pamoja na walimu ,maafisa elimu,watendaji wa vijiji na maafisa wa amref health tanzania baada ya kukabidhi tuzo kwa shule za msingi tatu ,Bisarara,Kisangura na Bonchugu zilizofanya vizuri katika masuala...
WAUMINI WA MASJID NURU MUGUMU WASWALI SWALA YA IDD
Waumini wa Masjid Nuru Mugumu wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara wakiendelea na Swala ya Idd eneo la Msikiti.
Swala inaendelea.
Wakiswali
...