Maandamano ya wadau mbalimbali wakati wa kuhitimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia wilaya ya Serengeti wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali.
Maandamano yakiongozwa na watoto wa kike walioko katika Kituo cha Nyumba Salama yakiendelea
Wanawasilisha ujumbe kwa jamii ili ibadilike waachane na ukatili wa kijinsia hasa ukeketaji na wasomesehe watoto wa kike.
Wanawasilisha
Wadau mbalimbali wakifuatilia
viongozi wakifuatilia
Ocd Serengeti Mathew Mgema akielezea matukio ya ukatili wilayani serengeti
0 comments:
Post a Comment