Mwenyekiti wa waendesha bodaboda Serengeti Frank Nyanswi akiwaasa wenzake kufanya kazi kwa kuzingatia sheria ili kupunguza ajali zisizokuwa za lazima na itawasaidia kupunguza migogoro na askari wa usalama barabarani.
Amesema hayo wakati wa kufunga mafunzo ya usalama...
Friday, December 29, 2017
CHUO CHA UFUNDI CHIPUKA CHAWANOA BODA 160 SHERIA ZA USALAMA BARABARANI
Baadhi ya bodaboda wa Mugumu wilaya ya Serengeti wakiwa kwenye mafunzo ya vitendo baada ya kumaliza mafunzo ya nadharia katika chuo cha Ufundi Chipuka,jumla ya boda 160 wamefuzu mafunzo kwa ufadhili wa Mbunge wa Jimbo hilo Marwa Ryoba na wanatarajia kupata vyeti vyao...
Thursday, December 28, 2017
NGARIBA NGULI AFUNGWA MIAKA 8 NA MWENZAKE MIAKA 4
Ngariba Nguli Wansato Bruna (56)mkazi wa kijiji cha Rung'abure wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara kushoto amehukumiwa kifungo cha miaka 8 leo kwa makosa ya kuwakeketa watoto wa kike kinyume cha she...
Monday, December 25, 2017
WASHINDI WA BONANZA LA MPIRA WA WAVU WABEBA SODA
Wadau mbalimbali wamejitokeza kutoa zawadi kwa ajili ya washindi wa bonaza la mpira wa wavu Mugumu wilaya ya Serengeti,mchezo huo kwa sasa unashika kasi kwa kujizolea mashabiki wengi.
Viongozi wakitoa maelekezo mbalimbali baada ya kumaliza bonanza ambalo lilikutanisha...
BONANZA LA MPIRA WA WAVU MUGUMU LAFANA
Wachezaji wa timu ya mpira wa Wavu Mugumu wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara wakimenyana katika bonanza la sikukuu ya Krismas katika Uwanja wa Nhc mjini Mugumu.
Mpambano unaendelea
Mchezo huo kwa sasa umeshika kasi kwa mjini Mugumu kufuatia vijana wengi...
Sunday, December 24, 2017
PILIKA PILIKA ZA KRISMASI MUGUMU
Biashara ya kuku kwa kipindi hiki cha sikukuu ya krismasi imeshika kasi katika mji wa Mugumu wilaya ya Serengeti kama inavyoonekana ,kuku mmoja huuzwa kati ya sh 10,000 hadi 15,000
Biashara ni matangazo wanazunguka mtaani kusaka wateja
Chukua huyu ndiye bomba...
WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU WAKUMBUKWA WAKATI WA SIKUKUU YA KRISMASI
Juma Karamba kwaniaba ya Buiskol Luiser(Mama cheza)raia wa Uholanzi akigawa msaada wa mchele,maharage na fedha kwa watoto 145 waishio katika mazingira magumu Mugumu wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara kwa ajili ya sikukuu ya krisimasi,msaada huo wa zaidi ya sh 1,4 milioni...
Thursday, December 21, 2017
KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA KUJIFUNZIA MBUNGE ATOA MIFUKO 250 YA SARUJI
Mbunge wa Jimbo la Serengeti Marwa Ryoba kulia akimkabidhi mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Mesaga mifuko 50 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa,lengo ni kuboresha mazingira ya watoto kujifunzia na kufundishia.
Pia ametoa mifuko 50 Kenyamonta,Remung'orori(50)na...
Tuesday, December 12, 2017
ROBANDA WAITIKIA MKAKATI WA JENGA HOSPITALI KWA SH 1000
Dc Serengeti Nurdin Babu akifafanua jinsi wananchi wa wilaya hiyo wanavyotakiwa kuchangia ujenzi wa hospitali ya wilaya ambayo inatarajiwa kuanza kutoa huduma mwaka kesho januari,ili kukamilisha kazi hiyo kila mkazi wa wilaya hiyo anatakiwa kujenga hospitali kwa kuchangia...