Fahari ya Serengeti

Wednesday, February 1, 2017

SINGITA GRUMETI YASAIDIA MIRADI YA MAJI SERENGETI

Afisa maendeleo ya Jamii Kampuni ya Singita Grumeti Frida Molel akisoma taarifa ya Mradi wa Maji Mtiririko kijiji cha Nyiberekera kata ya Nagusi wilayani Serengeti kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Dk Charles Mlingwa wakati akikagua miradi ya Maji na elimu.


Mradi huo unatarajia kugharimu zaidi ya sh 96 mil Kampuni hiyo ikiwa imetoa zaidi ya sh 82 mil. sawa na asilimia 82.15,Sekondari ya Issenye sh 15,450,000 asilimia 15 na wananchi viashiria vyenye thamani ya sh 2,925,000 sawa na asilimia 2.82
Unatarajia kuhudumia watu zaidi ya 2000,mifugo zaidi ya 2000..



Rc akiwa katika Ukaguzi.
Rc,Dc na Ded wakisiliza taarifa kutoka kwa afisa mtendaji wa kijiji John Wng'ombe.
Kisima kinachoboreshwa.
Msimamizi wa Mradi toka Kampuni ya Singira Grumeti akitoa maelezo mradi ukikamilika utakuwa na uwezo gani.









Rc akikagua mradi wa maji katika kijiji cha Nyiberekera uliofadhiliwa na Kampuni ya Singita Grumeti kwa zaidi ya sh 62 milioni,mradi huo  vituo sita kwa ajili ya kuchotea maji ,tenki la lita  30,000 la kuhifadhia maji,watu zaidi ya 3000 wananufaika na mifugo zaidi ya 2000.














Frida Molel akionyesha coke ambayo imeharibika na jamii haitaki kurekebisha licha ya kuwa Kamati ya watumiaji maji ina fedha kwa ajili ya marekebisho.

0 comments:

Post a Comment