Fahari ya Serengeti

Friday, February 24, 2017

HALMASHAURI YASAINI MIKATABA NA MAKANDARASI WA BARABARA.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti Mhandisi Juma Hamsini akiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Juma Porini Kulia ,kushoto Mwanasheria wa halmashauri Wakili Maganiko Msabi wakati wa zoezi la kusaini mikataba ya ujenzi wa barabara na ukusanyaji ushuru.
 Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti Juma Porini kushoto akiwa pamoja na watalaam wa idara ya Ugavi wilaya wakati wa zoezi la kusaini mikataba ya ujenzi wa barabara na ukusanyaji ushuru.
 Baadhi ya wazabuni wakiwa tayari kwa kusaini mikataba.
 Anasaini mkataba.
 Anafuatilia wanavyosaini.
 Mkurugenzi Mtendaji Juma Hamsini akionyesha mmoja ya mkataba wa ujenzi wa barabara baada ya kusaini,zaidi ya sh 550 zitatumika kwa ajili ya utengenezaji wa barabara kupitia mfuko wa Barabara.
 Wazabuni wanasaini
 Wanasaini wazabuni






0 comments:

Post a Comment