Afisa Mahusiano wa Kampuni ya Singita Grumeti Reserves Ami Seki Kulia akimkabidhi Printer yenye Scanner,na Photo Copy Kamanda wa Polisi wilaya ya Serengeti Methew Mgema kulia yenye thamani ya zaidi ya sh 4 .3 mil.
Vifaa vikishushwa kabla ya kukabidhiwa.
Wanapeana mikono ya kupongezena
0 comments:
Post a Comment